MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 26 May 2014

UTATA KIFO CHA NGALUMA

Jeneza lenye mwili wa marehemu Amina Ngaluma ukipokelewa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutokea nchini Thailand.
 Amina Ngaluma amezikwa huko Machimbo, Mnarani jijini Dar, lakini maswali mengi yameibuka kuhusu mazingira ya kifo chake. 


Kwani inadaiwa marehemu alifariki kutokana na maumivu makali ya kichwa huku akiwa na uvimbe kichwani japo ndugu wa marehemu na mumewe wakidai kuwa Amina hakuwahi kuwaambia kuwa anasumbuliwa na matatizo hayo!

Na Mwanaharakati.

No comments: