MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 10 June 2014

MAZISHI YA MZEE SMALL

Rais Kikwete akiwa kwenye sala kabla ya mazishi ya mzee Small
Mh Rasi Kikwete akitia saini kitabu cha maudhurio ya msiba wa msanii huyo.
Mama Salma Kikwete akimpa pole mjane wa Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Smal” alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam.
Na Mwanaharakati.

No comments: