Nicolaus Mac (None Association Movement) KWA MATANGAZO YA REDIO NA TV WASILIANA NASI KWA +255767814844- nicolausngaiza@gmail.com.
Sunday, 15 June 2014
MLIPUKO WA BOMU UNGUJA; MLENGWA NI NANI?
Bomu hilo limesababisha kifo cha kijana mmoja ajulikanaye kama Mohammad Mkombolaguha, na taarifa zinasema kuwa lilirushwa na watu waliokuwa ndani ya gari wakilenga kundi la watu waliokuwa wamaliza mhadhara katika moja ya msikiti huko Unguja.
Tetesi zinasema kuwa aliyelengwa alikuwa shekh Abulfadh’li Qassim.
Na Mwanaharakati.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment