![]() |
Hiyo ndiyo idadi ya walioudhuria maadhimisho hayo wote wakiwa ni wanafunzi waliofika katika uwanja huo kufanya mashindano ya UMITASHUMITA. |
Aliyekuwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Kagera kanali mstaafu FABIAN MASSAWE, mkuu wa wilaya ya Muleba Bwana LEMBRIS KIPUYO, amesema kuwa jamii iendelee kuheshimu, kuthamini na kutunza mazingira kwani maisha ya watu yanategemea mazingira.
Zawadi mbalimbali zimetolewa kwa waliofanya vizuri kutunza
mazingira mwaka huu, akiwamo mlemavu wa viungo anayemiliki vatalu vya miti, kwa
kupewa cheti na shilingi laki mbili.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment