MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 8 June 2014

NEWS ALERT!!!MLEZI WA WATOTO YATIMA BUKOBA MAHUTUTI, WATOTO WAKOSA MLEZI

Ni Bi Saada pichani alipopiga picha na mwandishi habari Mac Ngaiza kulia.
 Bi Saada ambaye amekuwa akitunza watoto yatima zaidi ya miaka 20 sasa, ameugua ugonjwa huo tangu mwezi januari mwaka huu, ambapo amelazwa hosptali ya mkoa na hatimaye kuruhusiwa kurudi nyumbani bada ya kuonekana hatotibika haraka hivyo anaudhuria kliniki kila wiki.
Jumuiya ya wanahabari Kasibante fm redio katika picha Bi Saada


Msaada wa fedha alizopewa na jumuiya ka Kasibante fm kushirikiana na kampuni ya Utalii Kiroyera.

Kitabu cha wanaoleta misaada na kuorodheshwa

Baadhi ya watoto wanaolelewa na Bi Saada walipopiga picha na waandishi habari.


Mlezi msaidi wa Bi Saada Pichani

KANDAYAZIWA BLOG, inakuomba mdau popote ulipo, tumsaidie Bi Saada ili tusaidie kundi kubwa la watoto anaowalea jamani, kwani akiondoka yeye watoto wote wataendelea kuteseka na kituo hakitaweza kuendelea.

Kituo kipo Bukoba mjini Kata Kashai kilomita2 kutoka katikati ya mji.
Na Mwanaharakati.

No comments: