Lady Jaydee ameandika:
Nashukuru
wote mnaokubali kazi zangu, wote mnaosimama na kutetea JayDee bila kusita,
nashukuru kwa Tuzo nyingine tena toka AFRIMMA . Wahenga walinena kuwa utavuna
ulichopanda, mapenzi tele kwa kila mtu.
Wanamuziki wengine walioshinda ni
pamoja na Davido na Flavour wa Nigeria, ambao wamenyakua tuzo mbili kila mmoja.
Nchi ya Nigeria ndio iliyong’ara
zaidi kwa kupata jumla ya tuzo kumi, ikifuatiwa na Afrika Kusini ambao wamepata
tuzo tano.
Naye Diamond kupitia Instagram amepost
picha akiwa na tuzo yake na kuandika:
“First of
all napenda nimshkuru sana Mwenyez mungu, Mama, Family, My management, kipenzi
changu, Media, bila kuwasahau nyinyi mashabiki zangu pendwa kwani sikuzote
mmekuwa mkinisupport bega kwa bega kwenye shida na raha…Niwashkuru pia Wasanii
wenzangu toka nje na ndani ya Tanzania kwani naamini changamoto tunazopeana
ndio zimefanya hadi sasa mziki wetu ufikie hapa…hakika tunzo hizi si zangu bali
ni za Muziki wa Bongo flavour… Mwisho kabisa nimshkuru Mh Rais Jakaya Mrisho
kikwete kwa mchango wake wa kila siku katika sanaa yetu!… Mr President your Son
Did it!!!!! #MdogMdogo”.
Hii ni orodha kamili ya washindi wa
AFRIMMA AWARDS 2014;-
Best DJ Africa 2014- Dj Black (Ghana)Best African DJ USA 2014 – Dj Josh (Kenya)
Best Video of the Year 2014- Flavour (Nigeria)
Best Male East Africa 2014- Diamond (Tanzania)
Best Male West Africa 2014- Davido (Nigeria)
Best Female East Africa 2014- Lady Jaydee (Tanzania)
Best Female West Africa 2014 – Tiwa Savage (Nigeria)
Best Male Central Africa 2014 – Fally Pupa (Congo)
Best Female Central Africa 2014- Gasha ( Cameroon)
Best Male Southern Africa 2014- Khuli Chana (South Africa)
Best African Group 2014- P-square (Nigeria)
Best Male Diaspora 2014- Fuse ODG (Ghana)
Best Female Diaspora 2014- Les Nubians (Cameroon)
Best Female Southern Africa 2014- Zahara (South Africa)
Best Dancehall Artist 2014 – Timaya (Nigeria)
Best Dance in a Video 2014- Iyanya (Lekwa Ukwu) (Nigeria)
Best Gospel Artiste 2014- Bahati (Kenya)
Best Traditional Artist 2014- Flavour (Nigeria)
Best Newcomer 2014- Stanley Enow (Cameroon)
Best Video Director 2014- Ogopa Dj’s (Kenya)
Music Producer of the year 2014- Dj Oskido (South Africa)
Best Dance Group 2014- Imagineto (Nigeria)
Best Rap Act 2014- Sarkodie (Ghana)
Best Collaboration 2014- Mafikizolo ft Uhuru (Khona) (South Africa)
Song of the Year 2014- Kcee (Nigeria)
Artist of the Year 2014- Davido (Nigeria)
Leadership in Music Award 2014- 2face Idibia
Legendary Award 2014- Yvonne Chaka Chaka
Transformational Leadership Award 2014- Chief Dr. Godswill Akpabio
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment