Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango,
Dkt. Philip I. Mpango (wa tatu kushoto) akipata maelezo kuhusu Mradi wa Chuma
Liganga kutoka kwa Nie Zhiyan (kulia), ambae ni Makamu Afisa Muendeshaji Mkuu
wa Tanzania China International Mineral Resources Ltd (TCIMRL). Hili ni
eneo ambalo kiwanda cha chuma chenye uwezo wa kuzalisha tani milioni moja kwa
mwaka kitajengwa. Kutoka kushoto, wengine ni Bw. Ramson Mwilangali, Kaimu
Mkurugenzi wa Viwanda Mama - NDC , Bw. Erasmus Masumbuko, Mchumi - Tume ya
Mipango, Bw. Maduka Kessy, Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango,
anaeshughulikia Sekta za Uzalishaji, Bw. Israel Mkojera Makamu Meneja Utawala -
TCIMRL, Bi. Florence Mwanry Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango
anaeshughulika na Huduma za Jamii na Idadi ya Watu na Bw. Mlingi E. Mkucha,
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NDC. |
No comments:
Post a Comment