MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 19 August 2014

WAKANDARASI WAPYA WAANZA NA CHANGAMOTO ZA HALMASHAURI NCHINI

Ni baada ya waziri mkuu kuwasisitiza wakuu wa mikoa, wilaya, mameya, wakurugenzi wenyeviti wa halmashauri kuacha uzembe katika usimamizi wa miradi ya ujenzi, baada ya kufungua mkutano wa wiki moja mjini Arusha ukiwahusisha viongozi wa mikoa na halmashauri kote nchini.  
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Barabara  wa Serikali za Mitaa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano wao kwenye hoteli ya Ngurdoti, Arusha August 18, 2014.

Wahandisi wa Halmashauri za Wilaya wakiapa mbele ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuwa watafanya kazi zao kwa uaminifu wakati Waziri Mkuu alipofungua mkutano wa Wadau wa Barabara wa Serikali za Mitaa kwenye hoteli ya Ngurdoto Arusha August 18, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Na Mwanaharakati.

No comments: