MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 7 August 2014

WAZIRI MKUU PINDA AZINDUA MBIO ZA NG'OMBE DODOMA

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mapishi ya pilau la kuku  ya Mama Irene mamuya  (kulia) wa  Chako ni Chako Dodoma katika maonyesho ya wakulima Nanenane yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nzuguni Dodoma  Auguast 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)
Ng’ombe mwenye kilo 1000  kutoka Mafinga Iringa akipita mbele ya mgeni  rasmi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  katika mashindano ya mifugo yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Nzuguni  wa  Nanenane mjini Dodoma August 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
Ng’ombe wakiwa wamejipanga katika maonyesho ya mifugo yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uwanja wa Nanenane wa Nzuguni uliopo Dodoma August 6, 2014.

Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akiongozwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus  Kamani kukagua banda la Wizarahiyo katika monyesho ya Wakulima Nanenane kwenye uwanja wa Nzuguni  Dodoma August 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Na Mwanaharakati.

No comments: