MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 22 September 2014

BIDHAA ZILIZOTEKETEZWA KIGOMA HIZI HAPA

Ni mikate kutoka Kigoma Bakerry, dawa za binadamu na bidhaa mbalimbali zilizoisha muda wake.
Mikate tani moja na nusu katika dampo la Businde mkoani Kigoma baada ya msako mkali wa mamlaka ya chakula na dawa TFDA.
Hizi ni bidhaa mbalimbali za madukani baada ya kukamatwa kwa kuisha muda wake wa matumizi tayari kwa kuchomwa moto.
Dawa za binadamu karibu tani mbili zilizokusanywa Kigoma mjini nazo zateketezwa.
Na Mwanaharakati.

No comments: