MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 5 September 2014

BREAKING NEWS!!! AJALI YA KUTISHA YAUA WATU 36 PAPO HAPO MKOANI MARA

Taarifa iliyotufikia, na kuthibitishwa na kamanda wa polisi mkoani Mara Philip Kalangi, inasema kuwa watu 36 wamekufa papo hapo na wengine 79 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani, baada ya mabasi mawili kugongana na gari dogo kuhusika kwenye ajali hiyo.
Baadhi ya miili ikiwa imenasa kwenye vyuma vya mabasi hayo

Amesema kuwa ajali hiyo imetokea katika eneo la sabasaba wilayani Butiama saa 5 asubuhi, ambapo magari yaliyohusika na ajali hiyo ni J4 Express, inayofanya safari zake Sirari-Butiama na Mwanza Coach inayofanya safari zake Mwanza -Musoma.

Baadhi ya miili ya waliokufa papo hapo.
Tutaendelea kukuletea undani wa taarifa hiyo.
Na Mwanaharakati.

No comments: