MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 24 September 2014

LIVE KATIKA UWASILISHWAJI RASIMU YA KATIBA INAYPENDEKEZWA

Katika uwasiliswaji huo, mwenyekiti wa kamati ya uandishi mh Andrew John Chenge, anaendelea kusoma sura mbalimbali za rasimu hiyo.

Katika sura hizyo kuna kipengelea kinachohusu mgombea huru ambapo rasimu hiyo inaonesha kiruhusu kuwapo kwa mgombea huru lakini kukiwa na sharti kuwa mgombea huru hatoruhusiwa kujiunga na chama chochote cha siasa na akifanya hivyo anakuwa amepoteza sifa yake.


Na Mwanaharakati.

No comments: