Basi la Ruksa aina ya Scania lenye namba za
usajili T 273 ACX llililokuwa iliktokea mkoani Kigoma kwenda
wilayani Kahama mkoani Shinyang'a likiwa limepata ajali katika kijiji cha
Kanyonza wilayani Kakonko,mkoani Kigoma ambapo watu wawili walipoteza maisha
papo hapo na wengine 65 kujeruhiwa katika Ajali hiyo ya Septemba 08,2014,majira
ya saa Sita mchana Pichani juu na chini ni Jeshi la polisi wilaya ya Kakonko
lilifika eneo hilo na kuwachukuwa waliojeruhiwa na kuwapeleka katika
hospitali ya wilaya kwa ajili ya matibabu.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment