![]() |
| Naibu Waziri wa Nishati na Madini Stiven Masele akizungumza neno na Mkurugenzi wa Mgodi wa Geita Gold Mine Michael Anen jana. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Geita Omari Manzie Mangochie. |
![]() |
|
Naibu Waziri wa Nishati na madini Steven Masele akikata
utepe wakati akifungua mgodi wa wachimbaji wadogo wadogo ulioko katika kijiji
cha Lwamgasa wilayani Geita Mkoani hapa jana
|
![]() |
| Naibu Waziri wa Nishati na Madini akifungua ubao unaonyesha kufunguliwa kwa mgodi wa wachimbaji wadogo wadogo katika kijiji cha Rwamgasa. Picha Zote na Valence Robert – Geita |



No comments:
Post a Comment