MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 31 October 2014

BREAKING NEWS!!! RAIS AJIUZULU BURKINA FASO

Rais Braise Compaore wa Burkina Faso ametangaza kujiuzulu nafasi yake muda mfupi.

Tangazo hilo limetolewa na jeshi la nchi hiyo ambalo ndilo linashikilia nafasi kwamuda huu.

Na Mwanaharakati.

No comments: