MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 21 October 2014

BREAKING NEWS!!!MSANII WA BONGO FLAVAAFARIKI DUNIA

Ni msanii YP kutoka kundi la wanaume TMK family aliyewahi kumba na Y Dash nyimbo za ulipenda pesa, pumzika na shesa, lakini pia alishiriki ktk Dar mpaka Moro, kichwa kinauma na nyinginezo.

Meneja wa TMK wanaume family Said Fella, amemtaja marehemu YP kwa majina halisi kuwa ni Yessaya Ambilikile na msiba upo kwa baba yake Keko Dar es salaam.
Na Mwanaharakati.

No comments: