![]() |
Nakala halisi ya Cheti hicho inayoonyesha Mrembo huyo amezaliwa Mei 31,1991i. |
![]() |
Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu akizungumza machache na waandishi wa habari |
"Katika mashindano ya
yetu,Washiriki wote hujaza fomu maalum zilizoandaliwa na Kamati ya Miss
Tanzania,katika fomu alizojaza mrembo wa Miss Tanzania 2014 Sitty Abbas Mtemvu amejaza
tarehe yake ya kuzaliwa ambayo ni Mei 31,1991 na hivyo kuwa ni sahihi kushiriki
mashindano yetu" Alisema Lundenga mbele ya wanahabari hao.
Lundenga aliendelea kusema kuwa Mashindano ya Miss Tanzania hayaruhusu mshiriki yeyote mwenye mtoto kushiriki,hivyo katika swala la Sitti Mtemvu kuwa ana mtoto,hilo halina ukweli wowote bali ni uvumi tu wa kwenye mitandao ya kijamii baada ya Mrembo huyo kuonekana akiwa katika picha na mtoto alieomba kupiga nae.

Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment