
Jimbo la Bukoba vijijini, lina kata zaidi ya 40, ambapo miundombinu ya jimbo hilo ni mibovu hasa barabara, ambapo kuna ugumu wa kuzunguka kata zote bila kukumbana na vikwazo, huku wananchi wakikosa huduma za matibabu, jambo ambalo linachangiwa na uhaba wa vituo vya afya.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment