“Majuzi askari wa jiji walikwenda
maeneo ya Segerea kwa ajili ya kufanya oparesheni ya kuwaondoa wafanya biashara
kandokando mwa barabara, wananchi wakaanza kuwapiga mawe na kufanya zoezi hilo
kuwa gumu. Ndiyo maana leo baada ya kuanza kupigwa mawe, nao wakaamua kutumia
mabomu ya machozi katika kuwatawanya.’’
Gari la polisi likielekea eneo la
tukio kuongeza nguvu.ASKARI wa jiji jana walilazimika kutumia mabomu ya machozi
kuwatawanya watu wanaofanya biashara kandokando mwa barabara ‘Machinga’ katika
maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment