MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 17 October 2014

SAKATA LA MISS 2014 KUENDELEA KUCHUKUA KASI NA KUIBUA MAPYA, TAZAMA PICHA ZAKE ZA ZAMANI NA KAULI YA MASSANJA



MISS TANZANIAAAAAA!!! ...HIVI LUNGENGA UKOJE? ...NILIKUWA NAKUAMINIA SANA.. ...SASA MBONA UNANIANGUSHA BRO! ...HIVI HAYO MANENO WANAYOSEMA HUYASIKIIIII?? ...HIVI UNATAKA MUNGU AKUPE NINI LAKINIII? ...HIVI UNATAKA MPAKA UISIKIE SAUTI YA MUNGU NDO USHTUKE... ...AMKA BRO WAKE UPPPPPPPPPP!! 


Na Mwanaharakati.

No comments: