Katika mkutano wake na wazee Dodoma, rasi Kikwete amesema amefanya makubalianobna nchi hiyo kuhusu kujenga chuo hicho cha mfano mkoani Kagera katika nchi ya Tanzania huku wakikubali kupokea watu zaidi ya 100 kwa ajili ya mafunzo nchini China na Vietnam.
Wakati huo huo rais amesema kuwa serikali yake imejiandaa vya kutosha kupima ugonjwa wa EBOLA na hasa kifaa maalum cha kupima na kutambua mgonjwa mwenye joto la juu katika kundi, maeneo yakitengwa kwa ajili ya wagonjwa na kufindisha madaktari pamoja na kisambaza matangazo ili kila mmoja ajue.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment