MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 7 December 2014

BREAKING NEWS!!! TAARUKI MJINI BUKOBA, TAZAMA PICHA ZA TUKIO HAPA

 Moto mkubwa na cheche zimedumu kwa takribani dakika tano kabla ya umeme kukatika maeneo hayo jambo ambalo limesababisha taaruki kwa wakazi, wafanyabiashara na wapita njia watembea kwa mguu na wenye usafiri katika eneo la tukio saa 1:10 usiku.




Na Mwanaharakati.

No comments: