MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 10 December 2014

BREAKING NEWS!!!MKUTANO MAALUMU WA CCM TAIFA NEC

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) wakiwa katika  kikao cha siku moja cha Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akitoa taarifa kwa Wajumbe wa Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya  (NEC) katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja kiako hicho kilifanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi (kushoto), [Picha na Ikulu.]
Wajumbe wa Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wakiwa  katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja ulipofanyika mkutano huo leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.
Wajumbe wa Sekretarieti wa Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar  wakiwa  katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja wakiwa tayari kuweka kumbu kumbu kwa mabo yote yatakayozungumzwa katika Mkutano huo uliofanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.]
Na Mwanaharakati.

No comments: