Akitoa taarifa ya serikali muda mfupi bungeni Dodoma, waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh Mathias Chikawe, amesema kuwa polisi walijibu barua ya CUF iliyoandikwa tarehe 25 Jan 2015, na kujibiwa siku hiyo kwa kukaa kufanya mazungumzokuwa mkutanohautafanyika, makubaliano ambayo LIpumba na wafuasi wakewalikiuka,jambo ambalo ni kinyume cha sheria.
Amesisitiza kuwa haiwezekani polisiisifanye kaziyake kwasababu ya wananchi wanaokiuka ilhali wamebaini kutokea kwa maafaambayo yangetokana na silaha zilizoibiwa, pamoja na huwepo wamatukioyakigaididuniani.
Hatahivyomwanasheriamkuuwaserikali George Masaju, amekataa wasijadili hoja hiyo, kwa sababu sualahilolimefikishwa jana mahakamani, jamboambalo wabunge wamekataa na sasa wanaendelea kujadili,ilhali Tundu Lisu akikata maelezo waziri na m,bunge Habibu Mnyaa akisema kuwa maelezo ya waziri ni uwongo, barua ya CUF iliandikwa januari 22 na haikujibiwa mpaka siku ya tukio tarehe 27 ambapo taratibu zote zilikuwa zinaendelea.
Ameongeza kuwa Lipumba alikubali na kuwasihiwananchiwaondoke lakini cha ajabu polisiilimfuata na kusababisha msongamno ambao hatahivyo ulisababisha adha na yeye kupigwa.
Tunaendelea kukuletea undanina maazimio
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment