Ametangaza hayo kutpitia mkutano wa UKAWA kupitia vyombo vya habari huku akisema kuwa mabadiliko siyo lazima yapatikane ndani ya CCM hivyo amechukua maamuzi magumu na ametafakari mawazo yake kwa kupitia ushauri wa wanasheria na viongozi kadhaa nchini.
Video itawekwa hapa punde
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment