Taarifa tuliyoipata katika Mtandao mmoja wa kengete.com mkoani Mbeya, zinasema kuwa vijana wawili wamepoteza maisha baada ya wafuasi wa vyama vya siasa kushambuliana, muda mfupi baada ya kumalizika mkutano wa mgombea urais UKAWA.
Tunakuwekea picha hivi punde.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment