Itakumbukwa kuwa wiki iliyopita meli ya TAURANGA huko NEWZEELAND ikiwa na tani kadha za mafuta iligonga mwamba na mafuta kuanza kuvuja ambapo hadi sasa viumbe vimeshaanza kuathirika na mafuta hayo, lakini hii leo muda mfupi kutoka sasa imeonekana inaweza kuzama baada ya mafuta hayo kupungua upande na baadhi ya makontena kuanza kudondoka baharini.
Unavyoona katika picha hapa ni maili14 zikiwa ni kilomita 22 kutoka katika mji wa TAURANGA ambapo ilijaza kontena 70 lakini inasemekana aliyekuwa mwongozaji wa meli hiyo (CAPTAIN)ameshafunguliwa mashitaka na hiyo ni kwa mujibu wa msemaji STEVE JONES.
No comments:
Post a Comment