MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 12 October 2011

Ni meneja wa kampuni ya utalii ya KIROYERA Wlliam Rutta alipokuwa akichangia jinsi ya vyombo vya habari kuhamasisha ushiriki wa maadhimisho ya miaka hamsini ya uhuru mkoani kagera katika kikako cha mkuu wa mkoa wa kagera Fabian Inyas Masawe pamoja na wamiliki na waandishi wa habari.

Katika kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa mkoa wa kagera Wiliam Ruta aliahidi kampuni yake kutoa kiasi cha shilingi laki8 kwa ajili ya mwandishi bora wa habari za uhuru ambapo mkuu wa mkoa ameongeza kiasi cha shiulingi laki mbili na kutimiza milioni moja kwa m,shindi huyo.

Hata hivyo kampun i ya KOROYERA itampeleka mwandishi huyo kupanda mlima kilimajaro ulipopandishwa mwenge wa uhuru mwaka 1961.

No comments: