Jambo ambalo limeonekana leo ni pale ambapo watu wanaosadikiwa kutoka halmashauri wameonekana wakizoa taka katika dampo ambalo lipo uchafu mwingi siku nyingi katika viwanja vya GYMKANA mjini bukoba kwasababu kuna uzinduzi wa maadhimisho.
Hii ni gari nambari STK 1113
Ni jambo la kushangaza na kusikitisha kuona watu wanaishi na uchafu siku zote wenyeji wanishi nao lakini wageni wakiingia hatua za haraka zinachukuliwa tuangalie picha hii ambayo imechukuliwa dakika chache kabla ya kuwasili mgeni rasmi jaji mkuu wa tanzania OTHMAN CHANDE katika viwanja hivyo.
No comments:
Post a Comment