Katika maadhimisho hayo yaliyoanza tarehe 30/09/2011na kuhitimishwa 2/10/2011wizara ya afya imewaambia wananchi kuwa makini kufuata ushauri mbalimbali ikiwa ni samamba na kutoa mawasiliano kwa wauguzi na kuahidi kuwa wizara hiyo iko tayari na inajali matatizo ya wagonjwa.
Katibu huyo amesema pamoja na mataifa ya afrika kuwa na tatizo la kuongezeka kwa vifo vya mama na mtoto wizara ya afya tanzania inajitahidi kupunguza vifo hivyo nchini.
AKINA MAMA WALIOUZULIA MAADHIMISHO YA WIZARA YA AFYA.
No comments:
Post a Comment