Maazimisho ya kilele cha maadhimisho ya siku ya wazee duniani yaliyofanyika katika viwanja vya shirika la KWA WAZEE nshamba wilayani Muleba mkoani Kagera.
Katika maadhimisho hayo walizungumzia pensheni wakti wakilalamikia kuendelea kutozwa gharama za matibabu alhali serikali imeshasema kuwa watibiwe bure.
Jambo lingine la msingi katika maadhimisho hayo ambayo wazee wameona ni bora walitoe katika siku muafaka ni kupuuzwa na wahudumu wanapokuwa katika vituo vya huduma ya matibabu.
Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ya tarehe 01 oktoba 2011 alikuwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya muleba, GEORGE KATOMERO.
No comments:
Post a Comment