Ni raia watu weusi nchini LIBYA jinsi wanavyotaabika katika viwanja mbalimbali nchini humo tangu kuanza machafuko ya kudai kung,olewa madarakani kwa KANAL MUHAMMAR GADAFFI.
SEHEMU YA NDANI YA UWANJA WA NDEGE WA SIRTE
Ijumaa Wanajeshi wanaoitii serikali ya mpito ya Libya wametwaa uwanja wa ndege
katika mji wa Sirte, mahali alikozaliwa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muammar
Gaddafi.
Wapiganaji
walisonga mbele kupitia majengo ya uwanja wa ndege yaliyoharibiwa, wakiharibu
miundombinu ambayo ilikuwa alama ya utawala wa Gaddafi.Taarifa kuhusu alipo kiongozi huyo wa Libya, aliyeng'olewa madarakani, bado haijulikani lakini wengi wa wanafamilia wake wamekwisha kimbia kutoka Libya.
No comments:
Post a Comment