MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 3 October 2011


Mgeni rasmi katika madhimisho haya jaji mkuu Tanzania OTHMAN CHANDE akisaini alipowasili katika banda kikosi cha usalama barabarani na chini anapewa maelezo kuhusu matumizi ya barabara. 


Balozi HAMIS SUED KAGASHEKI akiteta jambo JAJI MKUU alipowasili viwanja vya GYMKANA wakti wa maelezo madogo kutoka kwa kamanda wa polisi mkoa KAGERA.


Hapa jaji alikuwa akimsikiliza mtaalamu aliyeandaa alama za barabarni kuhusu walemavu lakini wakti huo naye ni mlemavu.

Ni alama za usalama barabarani kwa ajili ya walemavu zilizobuniwa na maalamu huyo.

No comments: