MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 20 December 2011

Ni chanzo cha maji ya mto KIGOYE katika kata ya Nshambya kwenye eneo la kyabitembe two.
 Haya ni baadhi ya majengo yakiwa katika bonde hili ndani ya chanzo cha maji kyabitembe Manispaa ya Bukoba.
 Majengo haya yapo ndani ya mita sitini kwenye chanzo cha maji, najiuliza viongozi wanaosisitiza kuwa sasa Bukoba itakuwa kama ulaya hawaoni wauzaji Holela wa viwanja?

Friday, 9 December 2011

Mkuu wa mkoa (kushoto)aliongoza safu ya vingozi kufungua burdani ya muziki, nyuma yake ni Meya manispaa Anatoli Aman,katikati ni kamanda jeshi la polisi Enry Salewi, kulia Mkurugenzi manispaa Hamis Kaputa.
 Kanal masawe akiwalisha keki waliozaliwa tarehe 9 Desemba 1961.
 Keki ilikatwa kwa mbwembwe na mkuu wa mkoa.
 Kiongozi wa kidini KKKT.
 Askofu Mkuu msaidizi jimbo la Bukoba Methodius Kilaini.
 Shekh wa wilaya ya Bukoba Aruna Kichwabuta.
 Fabiani Masawe akikomelea katika hotuba kwa wananchi.
 Hii ndiyo Sura ya maadhimisho hayo.