Ni chanzo cha maji ya mto KIGOYE katika kata ya Nshambya kwenye eneo la kyabitembe two.
Haya ni baadhi ya majengo yakiwa katika bonde hili ndani ya chanzo cha maji kyabitembe Manispaa ya Bukoba.Majengo haya yapo ndani ya mita sitini kwenye chanzo cha maji, najiuliza viongozi wanaosisitiza kuwa sasa Bukoba itakuwa kama ulaya hawaoni wauzaji Holela wa viwanja?
No comments:
Post a Comment