Ni kundi la waamuzi waliochezesha mechi kati ya Kagera Sugar na Mtibwa Sugar kutoka Morogoro.
Baadhi ya wachezaji wa Kagera Sugar wakitoka uwanjani Kaitaba vichwa chini, baada ya kulazwa Bao 2-0, ndoto zao kupanda Ligi kuu Tanzania Bara zinafutika kwani mechi iliyopita katika uwanja wao wa nyumbani walipigwa bao 1-0 na JKT Ruvu.
No comments:
Post a Comment