Ni mwaka mmoja na miezi miwili tangu mwangu pekee Bertha kuingia duniani hivyo pongezi za dhati sana na maisha marefu yenye Baraka namtakia kama babaake mpendwa.
Ikiwa ni siku mwafaka ya wapendanao (VALENTINE DAY) mimi nimemzawadia ua maalum ndiyo maana kwa furaha naye kaamua kuniunga mkono kwa kulibusu.
No comments:
Post a Comment