MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 16 February 2012

 Mpango huu wa upanuzi wa barabara katika manispaa ya Bukoba una lengo la kuanzia katika mzunguko (roundabout) Rwamishenye hadi Bandari kuu ya Bukoba KASTAM.
 Pamoja na ujenzi huo kuendelea kwa kusuasua, kuna sintofahamu inayowapa wasiwasi waliowengi ususani katika baadhi ya maeneo kwa walipoanzia upanuzi huu.

Ajabu ni pale wanapofikia kwa wale waliojenga kuingia barabareni wapanuzi hawa wanaweka kona kwa lengo la kuwakwepa kushhindwa kuwaondoa.
Huu ni mfano tosha katika eneo la Victorias ambapo packing ya magari iko kabisa barabarani sasa wajenzi hawa wameongeza kona upande wa pili kukwepa packing hiyo.
 Baada ya kuona Daraja au CARAVAT ya pale Annex kwa inakuwaje limefanywa finyu na kwanini upanuzi huu unaoneka sehemu zingine zimepanuliwa na zingine wanaziacha hivyohivyo? Kaimu meneja TANROADS Kagera Mhandisi Nasri Chakindo, alisema hayo ni mambo ya kiufundi ila nilipotaka kujua mambo gani hayo alisita kunena.
Upanuzi huu umenzia hospitali ya mkoa hadi Upendo ila zoezi litaendelea hadi kastamu na kule Rwamishenye kwani saizi hakuna fedha ya kutosha, hayo ni maneno ya TANROADS.

No comments: