MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 16 February 2012

Wasiwasi wa mwanaharakati ni pale wanafuzi wanaposomea katika jengo ambalo halijakamilika, hii inamaanisha kuwa bora liende tuwe na hesabu ya shule lakini si kwamba wanafunzi wanapata cha kujifunza kwani hapo huwezi kukuta vitabu vya kutosha, walimu pamoja na mazingira bora ya kusomea, je mtoto anaweza kulinganishwa na yule anayesomea shule Kongwe?

Shule ya Kata Bugandika Kiziba inatumika kufundishia wanafunzi lakini bado haijakamilika, na hii ni kwasababu ya kuendeleza elimu hivyo wadau wa elimu jitokezeni kusaidia hali hii.

No comments: