Mapema mchambuzi wa masuala ya kisiasa SALUM KIBAMBA alisema ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kuwa makini kurekebisha daftari la kudumu.
Jumla ya vituo 327 vinatumika lakini baadhi ya watu hawajui kusoma nakuandika katika vituo vya
Ngwaranga, Poli na Maji ya chai zoezi lilichelewa ndiyo maana kuna msongamano.
Mgombea wa CHADEMA amelalamikia mawakala wa kata ya Kilinga kuwa wameenda kinyume.
.
No comments:
Post a Comment