MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 2 April 2012

HITIMISHO LA KONGAMANO LA KISWAHILI KAGERA NA MAUDHURIO KIDUCHU;

Uchache huo unaonesha mwamko mdogo kwa wananchi wa Kagera lakini unaashiria uwepo mdogo wa mawasiliano kati ya ofisi ya mkoa na wananchi, jambo la kitaifa linaudhuriwa na watu kiduchu sasa je Kagera itatokaje?

No comments: