Bondia Tomasi Mashari akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa
ubingwa na Selemani Galile utakaofanyika usiku wa leo.
Bondia Tomasi Mashari kushoto na Selemani Galile, watafanya mbambano huo chini ya promota wa
mpambano huo Prospa Rweyemamu.
No comments:
Post a Comment