Huyu ni Blozi HAMIS KAGASHEKI ambaye ameteuliwa kuwa waziri wa mali asili na utalii ambapo awali alikuwa naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi.
1. OFISI YA RAIS Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na
Uratibu)Ndugu Stephen M. Wasira, Mb., Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala
Bora)Ndugu George Mkuchika, Mb., Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)Ndugu
Celina Kombani, Mb., 2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu
wa Rais (MUUNGANO)Ndugu Samia H. Suluhu, Mb., Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu
wa Rais (MAZINGIRA)Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb., 3. OFISI YA WAZIRI MKUU Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)Ndugu Hawa Ghasia, Mb., Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)Ndugu William V. Lukuvi,
Mb., 4. WIZARA Waziri wa Ushirikiano wa Afrika MasharikiNdugu Samuel J. Sitta,
Mb., Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,
Waziri wa UjenziDr. John P. Magufuli, Mb., Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb., Waziri wa Elimu na Mafunzo ya UfundiDr. Shukuru
J. Kawambwa, Mb., Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na WatotoNdugu Sophia M.
Simba, Mb., Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa KimataifaNdugu Bernard K.
Membe, Mb., Waziri wa Katiba na Sheria Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb., Waziri wa
Mambo ya Ndani ya NchiNdugu Emmanuel Nchimbi, Mb., Waziri wa Maendeleo ya
Mifugo na UvuviDr. David M. David, Mb., Waziri wa Kazi na Ajira Ndugu Gaudentia
M. Kabaka, Mb., Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na TeknolojiaProf. Makame M.
Mbarawa, Mb., Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna K.
Tibaijuka, Mb., Waziri wa MajiProf. Jumanne Maghembe, Mb., Waziri asiyekuwa na
Wizara MaalumProf. Mark Mwandosya, Mb., Waziri wa Kilimo, Chakula na
UshirikaEng. Christopher Chiza, Mb., Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe,
Mb., Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na MichezoDr. Fenella E. Mukangara,
Mb., Waziri wa Maliasili na UtaliiNdugu Khamis Kagasheki, Mb., Waziri wa
Viwanda na Biashara Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb., Waziri wa Fedha Dr. William
Mgimwa, Mb., Waziri wa Nishati na MadiniProf. Sospeter Muhongo, Mb., 5. NAIBU
MAWAZIRI OFISI YA RAIS HAKUNA NAIBU WAZIRI 6. OFISI YA MAKAMU WA RAIS Naibu
Waziri, Ofisi ya Makamu wa RaisNdugu Charles Kitwanga, Mb., 7. OFISI YA WAZIRI
MKUU Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)Ndugu Majaliwa K.
Majaliwa, Mb., Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)Ndugu
Aggrey Mwanry, Mb., 8. WIZARA MBALIMBALI Naibu Waziri wa Kazi na AjiraDr.
Makongoro M. Mahanga, Mb., Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na UshirikaNdugu
Adam Malima, Mb., Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya NchiNdugu Pereira A.
Silima, Mb., Naibu Waziri wa Viwanda na BiasharaNdugu Gregory G. Teu, Mb.,
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na UvuviNdugu Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa KimataifaNdugu Mahadhi J.
Maalim, Mb., Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Ndugu
Goodluck J. Ole-Medeye, Mb., Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na
Watoto Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb., Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Ndugu Philipo A. Mulugo, Mb., Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb., Naibu Waziri wa Maliasili na UtaliiNdugu Lazaro
Nyalandu, Mb., Naibu Waziri wa UjenziNdugu Gerson Lwenge, Mb., Naibu Waziri wa
Afya na Ustawi wa Jamii,Dr. Seif Suleiman Rashid, Mb., Naibu Waziri wa Nishati
na MadiniNdugu George Simbachawene, Mb., Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi
na Teknolojia Ndugu January Makamba, Mb., Naibu Waziri wa UchukuziDr. Charles J.
Tizeba, Mb., Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na MichezoNdugu Amos
Makala, Mb., Naibu Waziri wa MajiEng. Dr. Binilith Mahenge, Mb., Naibu Waziri
Nishati na Madini Ndugu Stephen Maselle, Mb., Naibu Waziri wa Katiba na
SheriaNdugu Angela Jasmine Kairuki, Mb., Naibu Waziri wa FedhaNdugu Janet
Mbene, Mb., Naibu Waziri wa FedhaNdugu Saada Mkuya Salum, Mb., Ikulu. Dar es
salaam. 04 May, 2012
No comments:
Post a Comment