
Katika siku hii Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon, amekemea vitendo vya mauaji ya waandishi wa Habari, lakini pia nchini Sudan mashaka kwa waandishi Habari yako juu kuhusu maisha yao. Kwanini tusipige kelele kuhusu jambo hilo? waandishi amka sasa.
No comments:
Post a Comment