MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 3 May 2012

LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA;-


 Usishangae kuona sijaonesha sehemu ya sherehe pamoja na zawadi kutoka kwa wanaonipenda, hii ni kwasababu nimejikuta nikikumbuka siku hii nikiwa kazini jamani.
 Pamoja na hiyo nimepitia sekta mbalimbali za kazi hili kupata kusimama katika kazi ninayoipenda ya habari hivyo usishangae kwa nilivyozunguka na maisha.

MUNGU NISAIDIE KATIKA KAZI HII NGUMU YENYE KUHITAJI WITO PIA ILI KUHAKIKISHA NINATENDA HAKI PANDE ZOTE.

No comments: