MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 2 May 2012

TAKUKURU WATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI HABARI MKOANI KAGERA;-

 Waandishi hao kuitoka vyombo mbali mbali wameanza mafunzo hayo ya siku tatu huku baadhi ya waandishi wakidadisi ushirkiano wa TAKUKURU na taasisi nyingine.
 Picha ya Pamoja ya viongozi wawezeshaji kutoka TAKUKURU pamoja na washiriki waandishi habari wa mkoani Kagera.
Walio kaa kuanzia kushoto ni Phil Karashani muandishi habari mkongwe nchini, Mwenyekiti KPC, Mkuu wa wilaya Bukoba, Kamanda wa Takukuru mkoani Kagera, Mkufunzi kutoka Takukuru makao makuu.

No comments: