MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 29 April 2012

SHULE YA MSINGI YAKUMBWA NA UJENZI HOLELA;-

 Inasemekana haya ni majengo ya Mabweni ya shule za kampuni ya MORITIES, ambavyo eneo la mzunguko katika uwanja huu ambao umekuwa ukitumika kwa michezo ya shule za msingi na Sekondari UMISETA yamewekewa majengo hayo.

No comments: