Rais Jakaya Mrisho Kikwete afanya maombolezo ya Marehemu Deokalyus
Makwasinga, ambaye alikuwa dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali
ya gari Ijumaa usiku sehemu za Kimara jijini Dar es salaam. shughuli hii
imefanyika nyumbani kwa marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda
kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi.

No comments:
Post a Comment