MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 15 May 2012

MAFURIKO MKOANI KAGERA;-

Hapa ni mjini Bukoba na hii ni nyumba ya diwani mstaafu SALUM UMANDE CHAMA na hiyo nyuma ni ya mmiliki wa CABLE TV BUKOBA (MOHAMED), zikiwa zimezingirwa na maji.
Hili ni daraja la mto kanoni maeneo ya Kasarani mjini Bukoba, picha hii imechukuliwa wakati mvua zinaendelea wasiwasi wangu ni kwamba baada ya mvua kukatika au zikiendelea maji yatavuka daraja na hapa huwa kunatokea ajali za watu kutumbukia mtoni.

No comments: