THE UNITED REPUBLIC
OF TANZANIA
DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
Fax:
255-22-2113425
|
RESIDENT’S
OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX
9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
Rais Barack Obama wa Marekani ameeleza Leo (18.5.12) katika hotuba yake ya ufunguzi wa kongamano kuhusu Kilimo na usalama wa chakula (Global Agriculture and Food Security) lililoandaliwa na kituo cha Masuala ya Kimataifa, Chicago Council on Global Affairs jijini
"Nimeona kuwa kuna umuhimu pia wa kuangalia changamoto zinazoikabili dunia, changamoto ya usalama wa chakula, tutatangaza ushirikiano mpya na nchi tatu zitakua za mwanzo kuanza ushirikiano huu ambao tutatangaza kwenye kushughulikia usalama wa chakula" Rais Obama amesema hayo mbele ya viongozi wa Afrika, ambao nchi zao zitakua za mwanzo kunufaika na uhusiano huo ambazo ni
Rais Obama amesema ushirikiano huu mpya utatangazwa rasmi katika Kikao cha Nchi 8 tajiri zenye viwanda duniani maarufu kama G8 unaofanyika tarehe 19 May, 2012 katika makazi ya kupumzikia Rais wa Marekani na wageni wake maarufu kama
Kikao hicho cha nchi tajiri duniani kimeweka katika agenda yake swala la chakula duniani kutokana na umuhimu wake katika kipindi hiki.
“Tumeliweka
suala la kupiga vita njaa, Marekani ina wajibu wa kupiga vita njaa na pia suala
la usalama wa chakula ni suala la kiuchumi" amesema na kuelezea kuwa Bara la Afrika linaweza
kujitosheleza kwa chakula na pia katika kuuza nchi za nje.
Ushirikiano
huu utakaotangazwa na Nchi 8 tajiri utahusisha serikali, watu binafsi na
wafadhili ambapo mwito umetolewa kwa nchi tajiri kutimiza ahadi zao.
Katika kikao cha mwaka huu,
Rais Obama amesema nchi hizi tatu za kwanza zimechaguliwa kunufaika na ushirikiano huu kwa vile zimeonyesha kufikia katika Kilimo na usalama wa chakula.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, tayari yuko jijini
Akizungumza katika kongamano
"Tunahitaji msaada zaidi katika Kilimo na pia Kilimo hakiwezi kuachwa kwenye mikono ya serikali na wafadhili peke yake, hata Sekta binafsi ina mchango mkubwa" amesema na kuelezea kuwa amefarijika sana, ana matumaini na anategemea yanayozungumzwa yatatimizwa"
Mkutano wa G8 pia utahudhuriwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, ambapo Mwenyekiti wake, Rais Yayi Boni wa Benin anatarajia kuhudhuria pamoja na Rais John Mills wa Ghana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi.
Rais Kikwete ataondoka Marekani Jumapili usiku kurudi Dar-es-Salaam.
No comments:
Post a Comment